NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2024/2025

Mkuu wa taasisi ya mafunzo ya afya na sayansi shirikishi Kibosho, anatangaza nafasi za masomo kwa wote waliomaliza kidato cha nne au cha sita, wenye sifa za kujiunga na taaluma za Afya kwa kozi zifuatazo:

  1. STASHAHADA YA UUGUZI NA UKUNGA (DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFERY):
    Ufaulu wa masomo ya sayansi na Kiingereza yaani Biology D. Chemistry D. Physics D na English D au ufaulu Zaidi ya huo.
  2. STASHAHADA YA UTABIBU WA KINYWA NA MENO (DIPLOMA IN CLINICAL DENTISTRY);
    Ufaulu wa masomo ya sayansi na Kiingereza yaani Biology D. Chemistry D. Physics D na English D au ufaulu Zaidi ya huo.
  3. STASHAHADA YA RADIOLOJIA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA (DIPLOMA IN DIAGNOSTIC RADIOGRAPHY):
    Ufaulu wa masomo ya sayansi na Kiingereza yaani Biology D. Chemistry D. Physics D na English D au ufaulu Zaidi ya huo.
  4. WANAOJIENDELEZA KOZI YA UUGUZI NA UKUNGA (NURSING UPGRADING COURSE):
    Mhitimu ngazi ya cheti (NTA Level 5) kwa kozi ya Uuguzi na Ukunga kutoka chuo kilichosajiliwa na NACTVET.
  • CES Chuo kina uzoefu wa miaka 23 katika utoaji wa mafunzo kwa kada ya afya
  • Chuo kimesajiliwa na NACTVET kwa usajili namba: REG/HAS/029
  • Chuo kina Hospitali ya kujifunzia kwa vitendo
  • Ada ni nafuu na inalipwa kwa awamu nne
  • Chakula na malazi vinapatikana chuoni
  • Mwanachuo anauwezo wa kuomba mkopo wa serikali oard-HELSB) Muhula wa masomo utaanza mwezi Oktoba 2024

Maombi yatumwe kupitia tovuti ya chuo ambayo ni: www.kibihas.ac.tz au kupitia mfumo wa CAS kwenye tovuti ya NACTVET ambayo ni: www.nacivet.co.tz

Mawasiliano: 0738091791 0756846878, 0745745496 na 0659567304.

PIA UNAWEZA KUFIKA CHUONI KWA MAELEZO ZAIDI. Tunawakaribisha Nyote Wenye Sifa Za Kujiunga

Tangazo hili limetolewa na:
Devota F. Shayo
Mkuu wa Taasisi
Taasisi ya Mafunzo ya Afya na Sayansi shirikishi Kibosho (KIBIHAS)

1 Comment

Comments are closed.